Vipimo
Saladi la duara 1
Matango 2
Pilipili mboga jekundu 1
Pilipili mboga kijani 1
Karoti 2
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Katakata saladi la duara lioshe, lichuje na lipange katikati kwenye sahani.
- Katakata matango yapange moja juu la jingine kuzunguka sahani.
- Kuna (grate) karoti kisha mwagia juu ya saladi kisha katakata mapilipili mboga tupia tupia juu ya karoti tayari kwa kuliwa.


No comments:
Post a Comment